Thursday, December 29, 2016


Image may contain: 2 people, people standing, beard and outdoorApongeza uongozi wa kata YA Ipinda na Vijiji ktk kata hiyo kuchangia upanuzi wa kituo cha Afya
Afurahishwa na uongozi wa Kamati YA Shule YA Ipinda kushirikisha wadau kukarabati madarasa 8 na matundu YA choo 10Image may contain: 5 people, people standing and suit
Awaonya wanasiasa wanaopinga wananchi kushiriki shughuli za maendeleoImage may contain: 2 people, people standing
MKuu wa Mkoa wa Mbeya leo amekagua ujenzi wa wodi YA mama na Mtoto, ukarabati wa madarasa nane na ujenzi wa vyoo 10 ktk Shule YA msingi Ipinda kisha kufanya mkutano wa hadhara kwa kusikiliza kero za wananchi katika Kijiji cha Ipinda wilayani KYELA pamoja na mambo mengine amewaomba wananchi kuendelea kushirikiana na serikali ktk ujenzi wa zahanati kila Kijiji, vituo vya Afya kila kata na ujenzi wa miundombinu Ktk Shule ikiwemo madarasa na vyooImage may contain: 8 people, sunglasses and outdoor
Amewapongeza wananchi , wadau na viongozi wa kata ya Ipinda kwa kushirikiana kukarabati madarasa, ujenzi wa vyoo na upanuzi wa kituo cha Afya Image may contain: 5 people, people standing, beard and outdoor
Amesema serikali peke yake haiwezi kufanya kila kitu bali kwa kushirikiana na wananchi na wadau wa maendeleo malengo YA kuwa na zahanati, vituo vya Afya na miundombinu YA Shule itawezekana
Amewaonya wanasiasa na kuwataka kuacha mara moja kuwashawishi wananchi kutoshiriki shughuli za maendeleoImage may contain: 1 person, standing

0 comments:

Post a Comment