Monday, December 19, 2016

Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.

0 comments:

Post a Comment