Nadia Buhari
Mrembo
anayeuza nyago kwenye filamu za Ghallywood, Nadia Buhari amefunguka
kuwa tabia yake ya aibu inamtesa sana kiasi kwamba watu wengi wamekuwa
wakimchukulia tofauti kuwa anaringa na kujisikia jambo ambalo halina
ukweli wowote.
Nadia
alisema; “Kiukweli aibu inanitesa. Ila watu wanatakiwa kuelewa kuwa
nimezaliwa nikiwa na aibu na watu wasinichukulie tofauti, kila mtu
anaasili yake.”
0 comments:
Post a Comment