Akiwa anafanya vizuri na ngoma zake za The Coolest Kid in Afrika, How Long aliyofanya na Tinashe, Davido anataka kurudi tena shule kuendelea na masomo.
Licha ya kuwa na Degree katika maswala ya muziki, Davido anataka kurejea tena chuoni kupiga masters, taarifa hiyo aliitoa katika kurasa yake ya Twitter ambapo alitaka mashabiki zake kufahamu mchongo huo.

0 comments:
Post a Comment