Tuesday, December 6, 2016

Kweli bongo movie mmedharaulika sana, mkoje nyie lakini? Mbona miaka fulani waimbaji walikuwa wanakimbilia kwenu leo wanawacheka?
Hata Marekani Jay Z hawezi kumdharau Denzel au Tom Cruise hata kama
kamzidi hela. Filamu ni tasnia inayoheshimika sana kasoro hapa kwa nyie wa Bongo Movie.Jisomee Hapa Alichosema Mwanamuziki ROMA:

0 comments:

Post a Comment