Friday, December 23, 2016


Kila Mwanaume anapenda kuona anapata kile Moyo wake unachohitaji kwa wakati ule lakini ulishawahi kujiuliza umefeli wapi hadi usimpate yule uliyemhitaji kwa wakati ule? Karibu twende sawa katika uwanja wa Mahaba

1.PAPARA
Wanaume wengi wamekuwa na haraka sana wanapokuwa wakitongoza hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu, mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata kwakuwa  atakufikiria sana juu ya uharaka wako.2.KUJIKATAA
Wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unatongoza jifunze kuwa mkweli.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki huna kitu mfukoni.



3.KUTOSOMA ‘MOOD’YA MWANAMKE

unapomtongoza  mwanamke lazima usome yuko katika hali gani kwakuwa unaweza kutoswa kwa sababu tu hujamsoma mwanamke,  unamtongozaje mwanamke asubuhi?4.KUMPONDA MPENZI WAKO WA AWALI
Mwanamke anakuuliza kwanini uko ‘single’,unaanza kumponda ‘ex’ wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.

5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.

0 comments:

Post a Comment