Friday, December 16, 2016



The Multy Talented Artist Mnyamaa mkali Chris Brown baada ya kudropisha Chupa la “Grass Aint Greener” Mwana Dzain yuko busy kukamilisha Album yake inayofuata itakayo kwenda kwa jina la Hearbreak On A Full Moon, Na hii ni Pini mpya itakayopatikana katika hiyo album inaitwa “PARTY” Breezy ameona isiwe kesi kama akimpa shavu Usher na Rapper Gucci Mane kukamilisha hili Pini kuwa la Kinyamaa...

Kupitia Blog ya wanachi Chupa limenyamatwa kama vip ruka nalo kulicheba, mziki flani hiv Fun Vibe, Ukienjoy tupia neno lolote chini

0 comments:

Post a Comment