Mrembo kutoka kaskazini mwa Tanzania anayesumbua kwenye tasnia ya uchekeshaji Katarina maarufu kama Katarina Karatu, anaendelea kukisanua vyema kwenye issue nzima ya standup comedy na vichekesho vifupi vifupi kwenye mitandao ya kijamii.
Katarina ambae alianza kujizolea umaarufu mwanzoni mwa mwaka 2015 anazidi kuuthibitishia umma wa watanzania kwamba yeye ndiye firstlady wa vichekesho Tanzania,kupitia ukurasa wake wa instagram katarina kavunja mbavu na hii


0 comments:
Post a Comment