Friday, December 9, 2016




RAIS John Magufuli kwa mara ya kwanza akikagua gwaride wakati wa kusherehekea miaka 55 ya nchi yetu  kujikomboa kutoka mikononi mwa wakoloni
 
Amiri Jeshi Mkuu Rais John Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa taiafa ulipokuwa ukiimbwa katika sherehe za kuazimisha  miaka 55 ya uhuru kwenye viwanja vya uhuru jijini Dar es Salaam


vikosi vya mbalimbali vya majeshi vikonyosha mbinu za kuwakabili maadui na wahalifu 

0 comments:

Post a Comment