Eminem amerudi tena na staili zake za ajabu za kutuma ujumbe wa sikukuu.
Kama utakuwa na kumbukumbu ya mwaka 2013, najua utakuwa ulikutana na picha ya Eminem akiwa ametoa ujumbe kuhusu ujio wa Sikukuu huku picha ya ujumbe huo itakufanya ubaki mdomo wazi, Sasa kama kawaida na kwa Mwaka huu amekuja na kitu kingine kipya kabisa.
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Eminem aliposti picha ya Cartoon yake akiwa amevalia maski la Jason huku anaonekana akiwa anafanya uharibifu wa mazingira kwa kukata miti.

0 comments:
Post a Comment