Saturday, December 10, 2016


Baada ya takribani wiki mbili kutokuwa machoni mwa watu baada ya kulazwa hospitali kutokana na matatizo ya uchovu wa akili, hatimae Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza.

Ameonekana Alhamis hii jijini Los Angeles katika eneo ambalo hutengeneza vitu mbalimbali vya sanaa, Pacific Design Center. Katika picha iliyowekwa kwenye mtandao wa TMZ, Kanye ana onekana akiwa amezipaka rangi (blonde) nywele zake.
Pia imedaiwa kuwa tayari Kanye ameanza kuandaa album yake mpya kupitia studio yake ya nyumbani.

0 comments:

Post a Comment