LEMUTUZ

Saturday, December 31, 2016

PICHA MOJA TU YA USHAHIDI WA SUPER STAA HUYU KUKATAAA UZEE KABISA MUONE TENA LIVE!!

Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 31, 2016
Image may contain: 1 person
Movie Star Actress Kajala Masanja


  1. What did you study at Lehman College?
    34 Pending Items
  2. Intro
    Edit BioDescribe Who You Are
    • Worked at Agapeo Company Inc.
    • Studied at Lehman College
    • Went to kwiro secondary school
    • Lives in Dar es Salaam, Tanzania
    • From Dar es Salaam, Tanzania
    'Babu na Mjukuu wake.'
    'PARTY starts Wednesday the 24th Dec; X-MAS EVE ndani ya isumba lounge (jollies club). PARTY continues on Thursday the 25th Dec; X-MAS DAY. 
Friday boxing day, Saturday, Wednesday the 31st Dec 2014  NEW YEAR'S EVE and Thursday the 1st January 2015: NEW YEAR'S DAY; ladies and gentlemen it's party time with DJ JOHN DILLINGA & DJ FAST EDDIE. Karibu sana'
    'Mgombea Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Nape Nnauye, ameshinda kiti cha ubunge 

-Ameshinda kwa jumla ya kura 28110, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Suleiman Luwongo wa CHADEMA, aliyepata kura 13918'
    'Tunaenda kuwapiga ugenini na kurudi katika nafasi yetu ya kwanza. Wamatopeni mpo?'
    Add Featured Photos
  1. Feature up to 5 photos you love
  2. Photos

    Nesher Kaluo's photo.

    'SIKIA:
Muombe Mungu umpate mtu ambaye mnafanana TABIA, mtaishi kwa FURAHA na AMANI sababu mtawezana. Baba mlevi apate mama mlevi watakunywa wote na kushinda wote bar na yanayotokea bar wote wanayajua.
.
Mama mtulivu apate baba mtulivu waishi maisha yao kwa utulivu sasa mama mtulivu ajichanganye aingie kwa mlevi au fuska atakufa kwa pressure au kama si kufa kwa pressure basi atapoteza nuru yake kwa mawazo.
.
Baba mcha Mungu apate mama Mcha Mungu siyo Baba mcha Mungu apate mama mwanga, mbona mzee wa watu atarogeka yaani atapigwa libwata mpaka kazi anaweza kusahau kufanya na maisha yake yapotee njia kabisa. 
.
Binti mtulivu apate kijana mtulivu sasa kosea njia utue kwa kijana ambaye ni mwizi wa mapenzi, unaweza kujutia maisha maana kila siku wewe unawaza, kila siku unalia, kila siku makwazo.
.
Haya sasa kijana unapenda sana michezo ya kuhondomorana halafu umepata binti anatoa kwa hesabu kali kama za Baba Jesca siyo zile za mzee wa msoga kwamba anatoa tu pale unapojiskia na kumuhitaji, utajutaa mbona, ndiyo hapo sasa una mtu halafu unahangaika unatafuta mtu kumbe bhanaa kiwi yako haitoshelezi kung'arisha viatu, sasa omba Mungu akupe asiye na hesabu kama Baba Jesca akupe mwenye hesabu kama za mzee wa Msoga.
.
Ha ha haha ha ha ha ha mimi naomba Mungu anipe mtu wa kufanana na mimi maana ikiwa tofauti atakuwa amepata bomu la machozi na si mume. Sasa wewe endelea kuomba mwenye pesa, umbo zuri, mwenye msambwanda, Mrefu sijui mfupi, sijui HB, sijui mlokole, sijui mweupe kama unga shauri yako unaweza kumpata mwenye sifa zote hizo ila asipofanana na wewe utateseka naye na kuja kumuacha tu. Wee haya tu #MunguAnakuona ila usimtake dada yako au kaka yako kwa kuwa mmefanana sura au rangi ha ha ha ha.
.
#Jifunze #Amua #Chukuahatua'

    '"Muda Mwingine Macho Hushindwa Kuchagua Na Kujua Wapi Ni Sehemu Sahihi Ya Kupenda Na Wapi Si Sahihi. Huupa Moyo Wakati Mgumu Na Mara Nyingi Kufikia Maamuzi Ya Kuchagua Pasipo Sahihi.
Sasa Nimejua Palipo Sahihi Mimi Kupenda Ni Kwako, Nimerudi, Naomba Unisamehe."
.
Barakah de Prince ft Alikiba - Nisamehe.'

    '.
**UJUMBE_WA_LEO**
"Samaki aliyefunga mdomo wake kamwe hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi. Jifunze kufunga mdomo wako unapokuwa katikati ya wabaya wako"'

    '"When Love is with Love doesn't know how dear Love is, but when Love is not with Love that's when Love knows how dear Love was"..._ Prince Anaclet'

    'Give a Hug, every Friday and Saturday, mahali tulivu na ngoma za ukweli. Old is Gold. Karibu'

    Elenn Hilman's photo.

    '.
**NJOO TUZUNGUMZE**
.
Ruksa pia kutoa sababu kulitetea jibu lako.'

    'Big suplies to my people.Kwa mahitaji ya MC katika maharusi,send off,office party na kungineko isipokua kichen party tu.Kutana na MC Dr Chris,nilipokutana na kaka angu kitambo MC Laurance.It was very funny.'
  3. Friends · 4,998


    Paul C. Makonda
    10 new posts


    Rose Julius
    10 new posts


    Babi D'e Conscious
    10 new posts


    Joyce Kisaka
    10 new posts


    Ziada Mchina
    6 new posts


    Basilisa Msoka
    5 new posts


    Nana Billy
    4 new posts


    Benny Kisaka


    Loyce Mashishanga
    2 new posts
  4. English (US) · Kiswahili · हिन्दी · ગુજરાતી · Español
    Privacy · Terms · Advertising · Ad Choices · Cookies ·
    More
    Facebook © 2016
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT