Mwanamke
Anitha Sullivan ambaye ana umri wa miaka 36 mkazi wa Michigan Marekani
anashikiria Rekodi ya Kitabu cha Guiness za Dunia kwakuwa mwanamke
mwenye watoto 14 wenye baba zao tofauti (Kila mtoto ana baba yake)
Watoto wake 13 wa mwanzo kabla ya huyo wa 14
Mtoto
wake wa 14 alizaliwa katika hospitali ya Harper University, Taarifa
ambazo kwataunit.com imezipata toka kwake Anasema " Najivunia kuweka
rekodi hii, Mama yangu siku zote alikuwa akiniambia mimi ni mvivu na mtu
wa hasara na vitu hivyo vitanifelisha kwenye maisha yangu sitakuwa na
chochote, sasa nimeonyesha kila mtu kuwa hakuwa sahihi, Nimekamilisha
kitu ambacho hakuna mtu amewahi kukifanya kabla. "
0 comments:
Post a Comment