Wednesday, December 14, 2016

Mkongwe wa hip hop nchini na mbumge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Prof J ametoa usia mzito kwa msanii anaiye hit kwa sasa katika hip hop Darassa.
“Mdogo wangu @darassacmg Imani yako, Kutokukata tamaa na Struggle yako ya Usiku na Mchana ndio imekufanya ufikie hapo ulipofikia, Nakumbuka wakati unashoot Wimbo wako wa USIKATE TAMAA uliniambia unatamani ufikie level za juu kama zetu, Nami nilikwambia hakuna kinachoshindikana chini ya JUA Ukiset GOALS, kufanya kazi kwa bidii na SALA yote Yanawezekana.”
“Naamini kwa style hii ya JIWE juu Ya JIWE, NDOTO yako inakwenda kuwa kweli, Cha MSINGI usiridhike na mafanikio haya..HUU ni mwanzo tuu na mafanikio makubwa zaidi yako at your DOOR, Keep your eyes open and Keep ya HEAD UP, SKY IS THE LIMIT, GO GET DEM… BLESS #ACHA MANENO WEKA MUZIKI @darassacmg @darassacmg” – Profesa Jay

0 comments:

Post a Comment