Monday, December 5, 2016


Kabla ya kuaga Dunia Rais wa zamani wa Cuba Marehemu Fidel Castro, aliagiza mwili wake uchomwe moto na kuwa majivu, gari maalum likiwa limebeba Sanduku hili maalum lenye majivu yake likipita mtaani Havana.

0 comments:

Post a Comment