Tanzania ilikuwa ikiwakilishwa na wasanii wanne akiwemo Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba na Navy Kenzo. Hatimaye Alikiba aliyekuwa kwenye kipengele kimoja amefanikiwa kuibuka na tuzo hiyo ya VIDEO OF THE YEAR kupitia wimbo wake wa Aje.
Sauti Sol wamefanikiwa kushinda tuzo ya BEST GROUP huku Wizkid alifanikiwa kuibuka na tuzo kubwa ya AFRICAN ARTIST OF THE YEAR.
0 comments:
Post a Comment