Katika kumtakia Nahreel kheri ya siku ya kuzaliwa,Diamond ametumia fursa hiyo kuelezea hisia zake kwa chipukizi kutoka lebel ya the industry Rosa Ree.
Rose Ree anayetamba kwa ngoma yake ya “one time” amekua kivutio cha wengi akiwemo manager wa diamond Babu tale ambae nae katumia muda wake kumtakia kheri Nahreeh kupitia post ya video ya Rosa Ree kwenye ukurasa wake wa instagram.
Diamond kaandika “A big birthday wishes to the most talented bway @nahreel…Unapambana sana mwanangu,mungu aendelee kukufungulia wewe pamoja na team yako nzima ya the industry…But all in all shukrani kwa kututambulisha kwa huyu dada..one of my favourite female rapper and song at the moment”
0 comments:
Post a Comment