za ujenzi wa nyumba hiyo ya ibada inayojengwa na Diamond platnumz. inakusohezea nukuu ya meneno yaliyo andikwa na mzazi wake Diamond kupitia instagram.“Alhamdulillaa nashkuru mungu kwakumuongoza mwanangu kujenga nyumba ya ibada..ewe mwenyezi mungu mjalie kheri zaidi aweze kujenga zaidi ya hii..INSHA ALLAAH.”
Tuesday, December 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment