Sunday, December 11, 2016


Utajiri wake unafikia dola bilioni 3. Kwahiyo sio kitu kinachoweza kumsumbua kuhesabu dola milioni 28 kununua mjengo wa kifahari.
1447091589_oprah-lg
Malkia huyo wa talk show amenunua nyumba hiyo yenye ukubwa wa ekali 23 huko Montecito, California.

bb592edc9e4bed2e74f4fa6e6f1cd8f7
Majirani zake kwenye nyumba hiyo ni pamoja na Ellen DeGeneres na Drew Barrymore.
0cf4f88dcd6f63a7bf8fe6b5949a7797
4a470ebaccd22ccd768b4ca4aacd69ad
23732034fc36b2133b19eb0229f29b86

0 comments:

Post a Comment