Posted by Williammalecela.com on Monday, December 05, 2016
RAIS John Magufuli leo amekutana na mkurugenzi wa masoko ya afrika wa kampuni ya utengenezaji ndege ya boeing yenye makao makuu yake Nchini Marekani ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali za kununua ndege kubwa katika kampuni hiyo
0 comments:
Post a Comment