Tuesday, December 6, 2016


Diamond Platnumz apata mtoto wa kiume ambaye atakuwa ni kijana wake wa pili, ni kaka wa mtoto wake wa kwanza Tiffah.

pamoja na kwamba hakuna  taarifa rasmi kutoka kwa familia hiyo lakini kuna dalili zote kuwa wawili hao wamepokea zawadi pekee kutoka kwa mungu.
picha za shamla ya kumpokea kidume wa diamond platnumz


picha zilizoonekana kabla 



0 comments:

Post a Comment