
Usiku wa December 18 2016 mwigizaji wa Tanzania Irene Uwoya alisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kualika watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa bongo ambao ni pamoja na mwigizaji Johari na msanii wa bongofleva Shilole.





Irene Uwoya kwenye Exclusive Interview na AyoTV



0 comments:
Post a Comment