Thursday, December 22, 2016

Tumezoea kuona madaraja ambayo magari hupita chini na juu na pia madaraja ambayo chini huwa ni maji, leo nimekutana na na hii list ya madaraja ambayo juu yana misitu na wanyama wanapita na chini ni barabara ya magari kupita.

Madaraja haya yametengenezwa kwenye njia barabara ambazo pande zote mbili zina msitu ili iwe rahisi kwa viumbe vinavyoishi kwenye misitu hiyo kuvuka upande wa pili, madaraja hayo ambayo yapo kwenye nchi kama Netherlands, Canada, German , Marekani na Ubeligiji
Madaraja haya yanafahamika kama ‘Animal Bridges’ au ‘Eco Bridges’ kwasababu ya uoto wake wa asili na hifadhi ya wanyama wa porini.
Unaweza kuzitazama picha nimekuwekea hapa chini
animal-bridge-wildlife-crossing-overpass-3
i-78-new-jersey-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass-1
Daraja la Interstate 78, Wachtung Reservation, New Jersey, USA
near-keechelus-lake-washington-usa-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la Near Keechelus Lake, Washington, USA (rendering, target 2014)
the-borkeld-netherlands-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la The Borkeld, The Netherlands
montana-usa-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la Flathead Indian Reservation, Montana, USA
a50-netherlands-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la Highway A50 in The Netherlands
Ecoduct Kikbeek over de E314.
Daraja la E314 in Belgium
scotch-plains-new-jersey-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la Scotch Plains, New Jersey, USA
b38-birkenau-germany-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja la B38 – Birkenau, Germany
ecoduct-in-the-netherlands-animal-bridge-overpass-wildlife-crossing
Daraja la The Netherlands
banff-national-park-ablerta-canada-animal-bridge-wildlife-crossing-overpass
Daraja ya hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada
banff-national-park-alberta-animal-bridge-overpass-wildlife-crossing
Daraja la hifadhi ya Banff National Park, Alberta, Canada

0 comments:

Post a Comment