Monday, December 12, 2016

KIKOSI  CHA SIMBA HINI YA MIAKA 20 WAKISHANGILIA BAADA YA KUBEBA KOMBE HILO
KIKOSI cha timu ya vijana wa simba chini ya miaka 20 kimeibuka kinara wa ligi ya vijana chini ya miaka 20 waliocheza fainali hiyo pamoja na timu ya vijana wa Azam waliowashinsda kwa mabao ya penati mara baada ya kutoka sare uwanjani.
kikosi cha simba kikiwa na kombe waliyoitwaa jana usiku kwenye fainali hiyo iliyochezwa katikakiwanja cha Azam Complex kilichopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.
JAMALI MALINZI RAIS WA TFF AKIWAKABIDHI KIKOMBE HICHO WASHINDI WA KWANZA WA MICHUONI HIYO.




0 comments:

Post a Comment