Jana kwenye XXL ya CLouds FM Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo muheshimiwa Nape Nauye alikuwa na exclusive interview katika kipindi hicho ili kuzungumzia mengi kuhusu sana na wasanii.
Ni mengi ambayo aliyazungumzia waziri huyo ikiwa ni pamoja na changamoto katika sanaa, kufungiwa kwa wasanii na mengine mengi ambayo yanaihusu wizara ambayo yeye ndiye waziri mwenye mamlaka.
Nimeileta hapa interview hiyo mwanzo hadi mwisho uweze kuyasikiliza mengi ambayo alifunguka waziri Nape. Play hii video hapa chini kusikiliza.

0 comments:
Post a Comment