Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi CCM wakati huo huo akiwa ni mkuu wa wilaya ya Ubungo
‘Mimi nasubuiri Rais atakachoamua kwa sababu yeye ndio mamlaka ya uteuzi, itakavyompendeza nihudumie nafasi moja
kwenye chama changu, nina furaha kubwa kuweka muda wangu wote kwenye nafasi hiyo, hata kwenye maelekezo yake amesisitiza nafasi moja, mtu mmoja, ila ni jambo lake yeye mwenyewe nitasubiri maelekezo kama itakavyokuwa’

0 comments:
Post a Comment