Mzee Maalim Masaja (kushoto)anayelelewa katika kituo cha wazee wasiojiweza cha Sarame Magugu, Wilayani Babati Mkoani Manyara, akipokea mfuko wenye mchele kwa niaba ya wenzake toka kwa Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald, ambapo msaada huo ulitolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa wazeeikiwa ni pamoja na mashuka, vyandarua, vyakula, dawa na mahitaji mengine yenye thamani ya zaidi ya sh10 milioni.Tuesday, December 20, 2016
Mzee Maalim Masaja (kushoto)anayelelewa katika kituo cha wazee wasiojiweza cha Sarame Magugu, Wilayani Babati Mkoani Manyara, akipokea mfuko wenye mchele kwa niaba ya wenzake toka kwa Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald, ambapo msaada huo ulitolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa wazeeikiwa ni pamoja na mashuka, vyandarua, vyakula, dawa na mahitaji mengine yenye thamani ya zaidi ya sh10 milioni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment