Friday, December 23, 2016

Diamond Platnumz kasaign wasanii kadhaa kwenye lebel yake na kufanikiwa kutengeneza Chibu Perfume inayotegemewa kuingia sokoni mwaka ujao




Msanii Shetta mbali na kukick na ngoma kadhaa kafanikiwa kuingiza sokoni tishrts na caps zenye logo yake


Alikiba mkali wa hit song kama Aje na Kajiandae, sokoni anatrend na mzigo wa kibacaps
Shilole bad girl shishi nae kaingia kwenye list hii kwakuanzisha mgahawa wake wa chakula


Mwanamuziki na mh.mbunge kutoka Mbeya, muite Joseph Mbilinyi au Sugu kaingia kwenye biashara ya hotel kwa kujenga bonge la hotel mkoani Mbeya


Ney wa Mitego kaingia kwenye list hii kwa biashara yake ya tishrts zenye logo ya True boy

Tip top connection under babu Tale wanakick na mavazi yao ya Tip Top connection


Msanii JI ambae kwa sasa kama kakaa kimya hivi kwenye game lakini kibiashara anafanya vizuri kwa biashara yake ya nyama maeneo ya kimara


0 comments:

Post a Comment