Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa
Lindi Godfrey Zambi mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Nachingwea kwa
ajili ya ziara ya kikazi katika wilaya ya Ruangwa Mkoani lindi kushoto ni
mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Alli
Mohamed Mtopa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi wa
Nachingwea (DED) Bakari Mohamedi Bakari katika kiwanja cha ndege cha Nachingwea
wakati wa mapokezi ya waziri mkuu wilayani hapo waziri mkuu amefika kwa ziara
ya kikazi katika wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi
Waziri mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mery Majaliwa
wakifurahia ngoma ya kikosi cha JKT
843KJ kilichopo Nachingwea ambacho kilikuwepo katika mapokezi ya Waziri
Mkuu katika uwanja wa ndege wa Nachingwea .Picha na Chris Mfinanga