Saturday, December 17, 2016


Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwakama hivi:
Simu: Hellow una boy friend?

Mrembo: Ndio ninaye. Kwani we nani?

Simu: Mimi baba yako. Kumbe una boy friend ukirudi utanitambua. Simu ikakatika akiwa na mawazo nini afanye. Simu ikaita tena kwa namba ngeni.


Simu: Hello una boy friend?

Mrembo: Hapana sina!

Simu: Vipi mpenzi ina maana unanisaliti?

Mrembo: Hapana BABY nilijua baba! 
Simu: Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boy friend. UTANIKOMA LEO! ?????
BLOG HII ITAKUWA INAKULETEA VIJAMBO VYA WHATSAPP. TUTUMIE KWA NAMBA +255 654 771 776

0 comments:

Post a Comment