Friday, December 16, 2016



Teh!! kuna jamaa mmoja nimemsikia kwenye redio analalamika kuwa amefanya kazi miaka 10 hajaona matunda, nikamuonea huruma sana stori yake
ikanigusa nimewachukua washikaji zangu ndio tuko njiani tunampelekea maembe na machungwa akayaone halafu turudi nayo.

Blog yako ya Mwananchi itakuwa inakusogezea Vituko na Misemo ya kufurahisha kutoka Whatsapp ili tufurahi pamoja.

0 comments:

Post a Comment