Saturday, December 17, 2016

Wizara ya Afya leo December 16 2016 imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoenea kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya uwepo wa ugonjwa wa ZIKA Tanzania, kwenye hii video hapa chini utakutana na kila kitu kilichoelezwa.

0 comments:

Post a Comment