Kuna tofauti kati ya wanamuziki hawa wawili ambapo kila mmoja ana udhaifu wake tofauti
na mwengine na ubora wake kuliko
mwengine .
Moja ya Toafuti kubwa walizonazo wasanii hawa wawili ni
pamoja na mitindo yao ya uwimbaji pamoja na aina ya mashabiki wao
Ali Kiba ni Mshairi ambaye anatumia muda mwingi kuhani
akiwa kwenye wimbo wake au wa kushirikishwa lakini Diamond yeye ni mtu wa kunata na mdundo ambapo yeye
hubebana na mdundo na kutengeneza mziki wake.
Diamond ni Mfanyabiasaha mzuri kuliko Ali Kiba analijua
vizuri soko lake na hawezi kuyumba kwa sababu tayari amejitengenezea soko kubwa
ambapo yeye mwenye alishawahi kukiri kwenye vyombo vya habari kuwa yeye hauzi
audio yeye anauza videos kwa kughalamika sana kwwenye videos na kufanya videos
zenye ubora wa hali ya juu. Ali Kiba yeye ni
sio mtu anayejua vizuri soko hapo ndipo napoonekana kana kwamba sio mtu
mwenye mafanikio kwani yeye anajua kuimba nyimbo nzuri lakini hawezi kushawisha
watu nje na ndani ya nchi kupenda ngoma zake kwa sababu tu hafanyi uwekezaji
mkubwa kwenye videos.
Skendo au Kick amini usiiamini Diamond anaishi kwenye
maisha ya skendo na kick ambapo anapenda
kucheza na akili za watu kwenye mitandao ya kijamii kwa kufanya hilo mara lile
mara nyingi huwa ni vitu vya kijinga. Kiba
kwenye masuala ya kick na Skendo yupo
mbali sana amabapo kila jambaoa analolifanya huwa na sababu za kufanya hajawi
kuweka wazi mahusiano yake zaidi ya watu kumdhania tu ingawa naye anamoenzi
wake wala kuonyesha anachofanya akiwa na mpenzi wake fargha kama anavyofanya
Diamond.
Kudance au kucheza kulitawa
jukwaani bila shaka Diamond Platnumz ni
dencer nzuri ambapo akiwa jukwaani huwa anacheza kwa mitindo mbalimbali ya kuwafurahisha
mashabiki wake tofauti na Kiba ambaye
mara nyingi huonekana sio nzuri kwenye
kudence.
Utunzi ni sifa kubwa sana kwa mwanamuziki kwani mtindo wa
mashairi na maneno humthibitisha msanii Kiba anautunzi bora na mpana kwani anafalsafa
yake kwenye jamii akizungumza mambo jamii kama msanii na kuweza kutoa suluhu
kwenye nyimbo zake.Diamond huwa mara nyingi hupita kwenye midundo hazingatii
sana nini anachowasilisha kwa jamii.

0 comments:
Post a Comment