Tukio la Uokoaji Mkoani Tabora Mtaa wa Mwene Kanisa la Miti mida ya Saa 8:21 Asubuh Leo Jumatatu Mwanamke 27 Okoa Godfrey amepoteza maisha baada ya kutumbukia kwenye shimo la Choo - Uokozi yamefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora.
ANGALIA PICHA ZA TUKIO HILO..
0 comments:
Post a Comment