SEHEMU YA PILI
“Atanikoma na hatanisahau!!!” aliapa kimya kimya Tembo huku
akiiendesha gari kuitafuta Kinondoni. Na hatimaye akaifikia Best Bite, akapaki
gari wakaingia katika mgahawa ule maarufu jijini Dar es salaam.
“Chipsi mayai….” Akaagiza B, muhudumu akamwambia hakuna orodha hiyo ya chakula. Tembo akacheka kimoyo moyo akagundua kuwa Beatrice alikuwa na ujanja wa facebook tu, wala kimaisha halisi hakuwa na ujanja wowote. Hata chakula kilivyoletwa Beatrice hakujua jinsi ya kutumia uma na kisu ,kuzitumbua chipsi na paja la kuku lilokuwa mbele yake. Kwa mara nyingine tena Tembo akausoma ushamba wa Beatrice!!!!

Kwisha habari yake!!!!!! Akajisemea
****
Baada ya kutafuna mifupa ya kuku wa kisasa wanaokuzwa kwa
kutumia madawa makali lakini ikatiwa viungo na kuonekana kuwa bora kwa
mwanadamu. Tembo alikuwa akimsikiliza Beaty atasema nini, na tayari ilikuwa saa
nne na dakika kadhaa usiku.
“Kwa hiyo twende Magomeni au sio..ni Magomeni ipi kwani??” aliuliza Hassan Tembo huku akijichokonoa na kijiti katika meno yake.
“Mh!! Sijui watafungua geti sasa hivi maana mh!!” alizungumza kama anajisemea vile Beaty. Tembo akajichekesha kwa kulazimisha.
“Kwani wewe unaenda wapi sasa hivi??” aliuliza huku akizungusha funguo za gari lake huku na huko.
“Naelekea nyumbani pande za Mbagala hivi”
“Dah!! Vipi anakusubiri mke nini??” aliuliza huku akijichekesha
“Hapana nipo na mwanangu mmoja tu sijaoa bado” alijibu kwa kujiamini.
“Mhh!! Kumbe una mtoto Hassan…” alihoji Beatrice..
“Hapana mwanangu yaani rafiki yangu mmoja hivi… mi sina mtoto wala!”
“Mh!! Afadhali maana presha ishaanza kunipanda” Beaty akatokwa na kauli iliyomfanya Tembo atabasamu.
“Kwani wewe ni lazima uende nyumbani leo???” akamhoji
“Mh!! Wala sio lazima maana hawajui kama nimefika..sasa nisipoenda nitaenda wapi?” alijibu na kujiuliza. Tembo hakusema lolote akaingia garini na Beaty akaingia. Tembo akawasha gari hadi Kinondoni kwa Manyanya, gari yake ilipolifikia geti la CHICHI HOTEL geti lilifunguka bila msaada wa mlinzi. Beaty akaduwaa, Tembo akashuhudia hali hiyo, akajiaminisha moyoni kuwa tayari amemteka Beaty na ushamba wake.
“Elfu hamsini Deluxe” alitajiwa bei ya chumba akazama mfukoni akahesabu hizo noti akamkabidhi binti mweupe wa haja aliyekuwa na tabasamu muda wote pale mapokezi.
Kisha kwa ishara akamwita Beaty, kama msukule Beaty akamfuata hadi chumba namba kumi na nane. Tembo akachomeka kikadi akaufungua mlango. Beatrice hakuwa na ujanja wowote, Tembo akawa kiongozi Beaty akawa mfuasi.
“Mh!! Siamini kama nalala na wewe leo, yaani mh! Umevunja rekodi kabisa, sijawahi kulala na mwanaume sehemu kama hizi… yaani tumekutana mara ya kwanza tu dah..” Beaty alizungumza huku akikishangaa kile chumba. Tembo hakumjibu badala yake akapenyeza mkono wake kiunoni mwa Beaty na kisha akamtekenya kidogo, Beaty akaanza kujichekesha kama bwege.
Kwisha habari yake!! Akajisemea Tembo, kisha akamrusha kitandani.

Bila kutegemea walioga wote, walicheza wote na mwisho wa siku
wakajikuta wamefanya mapenzi nani aliyejiuliza kuhusu mimba na maambukizi ya
magonjwa, jibu lilikuwa jepesi tu HAKUNA.
Palipokucha Tembo alimsindikiza Beaty hadi nyumbani kwao. Ile
kushuka kwenye gari na kuambiana kwaheri huo ndo ulikuwa mwisho wa Tembo
kuonana na Beaty japo walikuwa wanawasiliana. Hadi Beaty anarejea chuoni
hakuwahi kumtia tena Tembo machoni. Kule facebook hakujibiwa chochote
alichouliza, hatimaye akachoka akajiweka pembeni.
Na huo ukawa mwanzo wa Tembo Hassan kujielewa kwamba alikuwa amefanya jambo ambalo hakuwahi kulitegemea.
Hakuwa na wasiwasi!!!
Beatrice akajipa moyo kuwa mambo yameishia pale, kuwa amedanganywa tu na mwanaume na bahati mbaya wamefanya mapenzi… hakujua Tembo yu kazini hakujua balaa aliloachiwa!!!

*****
Tembo Hassan aliitazama kwa dharau picha ya msichana mmoja akiwa
yupo pamoja na mpenzi wake, walikuwa wamekumbatiana kimahaba huku wote wakiwa
na tabasamu halisi kutoka moyoni.
“I love my husband jamani” picha ile iliandikwa hivyo kwa juu. Tembo akakereka sana kuona maneno yale, akamtazama vyema yule msichana. Paja jeupe la kuvutia, macho mazuri!!

“Clara Clara Clara!!!!” aliita kwa sauti ya chini ile picha kana
kwamba ilikuwa inamsikiliza, halafu akamaliza akaihifadhi katika simu yake.
Kabla ya kuifunga simu yake aliamua kufungua profile ya Clara akaanza kuipitia
hatua kwa hatua.
“Reading novles” alikuta maneno haya katika vitu ambavyo vinamvutia Clara mojawapo likiwa hilo la kusoma riwaya.
Tembo kwa akili ya haraka haraka akamkumbuka mdau mmoja wa facebook kwa jina la Ibarahim Gama. Huyu alikuwa ni mtunzi mahiri ambaye mara chache Tembo huwa anapata nafasi ya kupitia simulizi zake zinazopendwa na watu wengi katika mtandao wa kijamii. Tembo alizikumbuka kichwani mwake jinsi simulizi hizo ambavyo huwa zinaiteka akili yake.
Ghafla bila kujua anachokifanya aliingia katika mtandao wa kijamii wa facebook, akaingia katika kundi la simulizi moja baada ya jingine. Kona ya riwaya, Uwanja wa simulizi, Stori za mapenzi na sitosahau, Tungo zetu kisha akamalizia na kurasa ya George wa hadithi stories. Huko kote akakuta kuwa Clara ni mdau na anazifuatilia simulizi kwa ukaribu.
Hapahapa! Akajisemea Tembo kisha akaandika “Kaa mkao wa kula kusoma simulizi zangu kuanzia kesho” watu wengi waliitazama kama utani na hawakuamini kabisa kuwa Hassani Tembo alikuwa na uwezo wa kuandika simulizi. Lakini wakamjibu kuwa wanangoja simulizi hizo.

Tembo alipofika nyumbani alifungua maboksi kadhaa akakutana na
vitabu vya simulizi vya kiingereza na Kiswahili. Akavichukua vyote viwili
akavilinganisha. Akachagua cha kiingereza, akakisoma kikamvutia sana. Akatulia
tuli akaanza kukitafsiri katika lugha ya Kiswahili, siku iliyofuata akadondosha
katika makundi simulizi hii. Maoni yakawa mengi, sifa zikamiminika, wanawake
walikuwa wengi waliomsifia Tembo kwa mwanzo mzuri, wanaume walikuwa wachache,
jambo hilo lilimvutia sana. Alikuwa katika mawindo, Hassan Tembo!!
Hakuwa na shida na wanaume. Lengo lake lilikuwa ni hao hao wanawake na mawindo yake yalikuwa kwa Clara. Hadi inafika sehemu ya sita ya simulizi yake hii ya kuiba kutoka katika kitabu cha kiingereza na kuitafsiri kuwa ya Kiswahili bado Clara alikuwa hajajitokeza lakini tayari mawindo yake yalikuwa na wateja wengi sana ambao walikuwa wamejiingiza katika kutaka kumjua sana zaidi ya pale facebook.
Huku Tembo akidhania kuwa Clara hakuwa akifuatilia simulizi zake, haikuwa hivyo Clara alikuwa naye bega kwa bega. Siku hii Tembo akaamua kumtag Clara katika simulizi zake.
“Asante Tembo kwa kunitag hadithi yako yaani imenigusa kweli hii simulizi yaani haya mapenzi acheni yaitwe mapenzi” Clara alimuandika meseji Tembo. Kabla ya kuijibu Hassan alitabasamu kidogo halafu akafikiria nini cha kumjibu.

Tembo:Usijali dear….imewagusa wengi sana!! Na ndiyo nia yangu
mimi
Clara:Ikiwa inaendelea uwe unanitaarifu basi
Tembo:Usijali….ntakuwa nakutaarifu
Clara:Mh!!!!natamani uimalize yote nijue mwisho wa huyu mkaka maana dah!! Sipati picha.
Tembo: Mambo mengi sana ujue natamani kuwa naandika sana sema muda tu
Clara: Haya kaka hongera kwa kipaji sipati picha wifi si atakuwa anafurahia sana, kila siku unamuhadithia, nikija Dar nitakutafuta unisimulie au unipe kitabu nijisomee.
Tembo: aah!! Wala hapendi hadithi, kwani we upo wapi? Halafu kitabu sijatoa bado ila nitatoa.
Clara: Mwanza nipo chuoni huku lakini Dar ndo nyumbani.
Tembo: Huwa nakuja Mwanza mara kadhaa siku nikija nitakutafuta.
Clara: Nitafurahi sana yaani sana tu…pliz usiache kunitafuta kama kweli ukija.
Tembo: usijali dadangu sitaacha nipatie namba yako kama hutajali…maana facebook sio pa kuamini sana unaweza uingie au usiingie.
Tembo akapewa namba ya simu!!!
Mtego unaelekea kunasa!!

Basi liliiliwaza stendi ya Mwanza iliyokuwa katika upweke mkubwa
kutokana na kukosa mabasi mengi katika muda huo wa usiku.
Abiria mmoja baada ya mwingine walishuka kutoka katika basi lile. Walipomalizika kabisa alisimama abiria ambaye huenda ni maksudi ama kukwepa vurumai aliamua kuwa wa mwisho kushuka. Alikuwa hana dalili ya nywele katika kichwa chake kilichofanana rangi na uso wake mweusi. Mgongoni alikuwa na kibegi kidogo cheupe kilichorandana na kiatu chake mguuni, hakuonekana kuwa mgeni sana wala mwenyeji sana, usoni alikuwa na miwani kubwa nyeupe iliyomkaa vyema.
Alipofika chini aliusabahi mji huu kwa kuvua miwani yake na kufanya mfano wa toba ya kiislam. Kisha alipiga hatua kadhaa mbele hadi akakifikia kibanda cha chipsi.
“Zege na mishkaki mitatu!!” aliagiza kwa sauti ya wastani lakini yenye amri ndani yake.
“Poa braza”
Baada ya dakika kumi na tano Hassan Tembo alikuwa akifanya mashambulizi ya hatari katika viazi mviringo vyenye mayai pamoja na mishkaki.
“Nipatie na Fanta baridi”
Punde aliletewa akaigida kwa fujo zote kisha akalipa kilichostahili akasimama na kuondoka bila kuaga.
Alitembea haraka haraka kama mwenyeji hadi katika kituo cha mabasi, kulikuwa na baridi kali sana kutokana na msimu wa mvua uliokuwa ukiendelea, kila mtu alikuwa na koti ama sweta lakini Tembo hakuwa na chochote kile zaidi ya fulana yake. Baridi lilianza kuushambulia mwili wake kwa fujo akajihisi kama hana hata hiyo fulana.
Taratibu akiwa katika kujikunyata akaichukua simu yake akaingia katika orodha ya majina akaligusa jina la Clara, akabonyeza kitufe cha kupiga simu ikaanza kuita iliita mara tatu ikapokelewa.
“Nani wewe??” sauti ile ilihoji.
“Aaah!! Jamani si tunasalimiana kwanza au??”
“Bwana eeh!! Sema wewe nani??” ilitoa karipio sauti ile iliyokuwa katika usingizi.
“Hassani hapa…”
“Yupi?”
“Tembo…”
“Aaah!! Jamani Tembo samahani jamani….nisamehe bure miee” sauti ya Clara ikabadilika ikawa katika kubembeleza. Tembo akakenua meno.
“Usijali nimeona kuondoka kimya kimya sio ishu….nipo hapa Mwanza kesho naweza kuondoka kurejea Dar es salaam….”
“Jamani Tembo wewe tabia mbaya upo wapi kwani njoo basi kwangu walau nikuone tu”
Tembo aliunda tabasamu jingine maridhawa kisha akamuuliza Clara ni wapi anapoishi.
“Huku panaitwa Nyamalango sijui unapajua. Karibu na chuo kikuu cha mtakatifu Augustino”
“Hapana nielekeze labda naweza kuja”
Clara akamuelekeza Tembo, hadi akaelewa.
Akabaki kusubiri kama atakuja ama laa.

Ile hali ya Clara kuzungumza na Tembo ilimsababisha ajikute
akizifikiria simulizi baadhi za Tembo ambazo amewahi kuzisoma. Nyingi zikiwa za
mapenzi motomoto. Ile baridi ikaamsha mshawasha katika mwili wa Clara, kifua
chake kipana kikaanza kuwasha alijaribu kuzikuna nyonyo zake lakini haikusaidia
kitu alikuwa anazifanya zizidi kuwasha. Mwili ukawa unamsisimka bila kujua
sababu haikuwa kawaida yake kabisa kukumbwa na hali kama hii. Baridi likazidi
kujikusanya na kuutesa mwili wake. Alikuwa peke yake kitandani.
Mara simu ikaita hakutaka kuipuuzia alipokea. Alikuwa ni Hassan Tembo tayari akiwa maeneo jirani na chumba cha Clara.
“Nakuja bab….aaa!! Hassan” alijiumauma Clara huku ule muwasho ukizidi.
Muwasho ulihitaji mkunaji!!!
Haya yalikuwa maajabu ambayo hakuwahi kuyapata hapo zamani. Kuzungumza na mtu kwenye simu kisha anakuwa katika hali ile???
Ilistaajabisha!!

**BEATY… Kaachwa njia panda asijue la kufanya….. nini kitajiri
upande wa Beaty…
**Ni zamu ya Clara sasa… anawashwa kunako na anahitaji mkunaji… Tembo ndani ya jiji la Mwanza
ITAENDELEA!!!
**Ni zamu ya Clara sasa… anawashwa kunako na anahitaji mkunaji… Tembo ndani ya jiji la Mwanza

0 comments:
Post a Comment