Mchungaji
huyo aliwadanganya waumini wake kuwa roho mtakatifu alikuwa anaingia
kwenye uume wake na kutoka kwa njia ya maziwa yenye upako.
Kwa
mujibu wa mmoja wa waumini wa kanisa lake, mchungaji huyo alikuwa
akiwahuburia kuwa Mungu angeingia kwa watu kupitia midomo yao.
“Alikuwa
akitupeleka nyuma ya kanisa na kutuambia tumnyonye mpaka pale Roho
Mtakatifu atakapotoka kwa njia ya ‘ejaculation’ (kufika kileleni).
Mchungaji huyo ambaye yupo jela alidai kuwa na mpango wa kuwapa maziwa hayo ya baraka wafungwa wenzie.

0 comments:
Post a Comment