Angelina
Jolie ana miaka 41 amezaa watoto watatu,Mme wake ni mcheza filamu
maarufu Brad Pitt.Siri ya urembo wake anakunywa maji masafi na
mengi,juice za matunda.Colberti crime ni mafuta yake pekee
anayopaka,Hapendi makeup nzito anapenda kua natural.Anapaka
lipstic.Shampoo ya Aveda hutumia kwenye nywele zake.Mazoezi hufanya ya
yoga na karatee.Misosi anayo penda kula mboga mboga na anamaintain
diet.Hutumia sabuni zenye kuondoa chunusi na harara.
Sunday, January 22, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment