Baada ya ngoma ya Zigo Remix kufanya poa kinoma Africa hadi kuweza kukwarua tuzo kimataifa A.Y amepandisha viherehere vya wapenzi wa muziki wake.
Ni baada ya kupost katika kurasa yake ya Instagram picha iliyoonyesha moja ya mafanikio ya ngoma ya Zigo Remix ambayo kafanya na Diamond Platnumz na kuandika caption ya shukrani kwa wana Mombasa kwa love yao huku akiwasanua kuwa wakae mkao wa kula sababu wiki ijayo anadropisha goma jingine ambalo kamtupia Mkenya Nyashinski humo ndani

0 comments:
Post a Comment