Tuesday, January 10, 2017


Baada ya juzi kati kusikia drama zake na shilole ambapo pia ni washkaji wazuri sana mpaka ikafikia hatua shilole kusema kwamba akiwa na baba levo huwa anahisi yupo na mwanamke mwenzie.

Babalevo amesikika kwenye Planet bongo na kuwajibu watu 
wanaodai kuwa hafai kuwa kiongozi kutokana na drama zake

"Swala la udiwani na mambo yangu binafsi havihusiani, kwasababu ukizungumzia hivyo ndio ile diwani akinywa maji makubwa watasema...eeh diwani anakunywa maji makubwa kwani madogo hayaoni..hiyo haiwezekani diwani ana maisha yake anatakiwa aishi maisha ajiachie, mimi sio diwani mzee mzee mimi nakula suti siku nyingine nakula pens siku nyingine nakula boxer najiamulia mimi mwenyewe, lakini wewe angalia nafanya nini kwa wananchi kitu gani kinaendelea ukitaka kujua kama mimi ni nani nenda kigoma ulizia baba la baba ni nani...watakwambia bwana hiyo ni mashine inasaga na kukoboa hiyo ndio point ya msingi"
.
.

Baba levo alichaguliwa na wananchi kutoka kigoma kuwa 
kiongozi wao kama diwani

0 comments:

Post a Comment