Msichana
huyo ambaye yuko excited kwa ajili ya upasuaji huo mkubwa, tayari
ameshafanyiwa upasuaji mara kadhaa kama sehemu ya maamdalizi ya upasuaji
huo.
Imechukua
miaka sita kwa madaktari kufanya mchakato wa kutengeneza misingi ya
kufika hatua ya kuwa katika nafasi ya kutengeneza pua mpya kwa Cassidy.
Katika
siku za nyuma, Cassidy alikuwa akitumia macho ya bandia, lakini
kutokana na wazazi wake kushindwa kumudu gharama kubwa za $ 5,000 kila
moja hakuendelea kuyatumia, kutokana na mahitaji ya kuyabadilisha kadri
Hooper alivyokuwa anazidi kukua.
Hooper
amesema yuko excited kwaajili ya upasuaji huo mkubwa ambao anaamini
kama utafanikiwa utamfanya aweze kupata pua na kunusa kama binadamu
wengine.
Mtazamae hapa
0 comments:
Post a Comment