Sunday, January 1, 2017


Watu 23 wafariki baada ya mashua iliyokuwa inasafirisha watu 247 kushika moto na kuteketea.


Mashua hiyo ilikuwa inapeleka watu kutoka kisiwa cha Tidung kutoka mji mkuu wa Jakarta .

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kuokoa na utafiti la BASARNAS mjini Jakarta Hendra Sudirman alifahamisha kuwa abiria 194 wameokolewa na shughuli ya kutafuta na kuokoa bado inaendelea .

Abiria hao walikuwa wanaenda kisiwa cha Tidung kusherehekea mwaka mpya.

0 comments:

Post a Comment