Posted by Williammalecela.com on Monday, January 16, 2017
Baraza la mitihani nchini(NECTA) limetoa matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Kidato cha Pili. Ufaulu waongezeka kwa 2% Shule za St. Franscis, Kilimanjaro
Islamic na Kaizerege zaongoza Shule 9 kati ya 10 zilizofanya vibaya ni kutoka Mtwara
0 comments:
Post a Comment