Friday, January 20, 2017

Daimond Platnumz
Alama 21 zinazodaiwa ni chale zinazopatikana mgongoni mwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ zimezua mambo baada ya juzikati picha yake kutupiwa mtandaoni ikizionesha kwa uwazi na kuibua mjadala mzito.Picha hiyo iliyotupiwa mtandaoni ilimuonesha Diamond akiwa kwenye moja ya shoo alizofanya hivi karibuni huku akizungushiwa eneo ambalo lilionekana kuwa na chale, jambo lililowafanya wadau kibao wazijadili.

0 comments:

Post a Comment