Tuesday, January 31, 2017

Jumapili iliyomalizika, Diamond alikuwa live kwa muda mrefu kwenye mtandao huo akiwa nyumbani kwake, Pretoria, Afrika Kusini pamoja na familia yake. Kwenye video hiyo ya moja kwa moja,
kwa wakati fulani Diamond alipewa kampani na mama wa watoto wake, Zari pamoja na mtoto wao wa kwanza, Tiffah.

0 comments:

Post a Comment