Posted by Williammalecela.com on Saturday, January 14, 2017
Kumekuwa na mlipuko wa mastaa wa Bongo kuja na brands za mavazi kama T-Shirt, Kofia zenye majina/nembo zao. Wasanii kama Shetta, Nay True boy, Jux na wengine kibao majina yao yamesikika kwenye michongo hiyo.
Kwa upande wa msanii Chege usitegemee kuona kofia wala
Tshirt ambayo itakuwa na brand ya jina lake
“Mimi nitafanya kitu ambacho akili yangu inanituma, naweza nisitoe Kofia, nisitoe T-Shirt wala Jeans nikatoa Braslate ya mkononi imeandikwa Chege au kitu kingine, kwanini nitoe kitu ambacho mtu mwingine anacho? Hiyo sio biashara nzuri. Naweza kufanya ila sio T-Shirt wala Kofia wala kitu kingine chochote ambacho watu wameshafanya.” Alisema Chegge kwenye XXL ya Clouds Fm
0 comments:
Post a Comment