Wednesday, January 11, 2017


Zungu ni mmoja kati ya dancers wakali wa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz. Mapema mwaka jana zilitufikia taarifa na picha kusambaa kwenye mitandao zikionyesha kuwa dancer huyo amevuta jiko (Amefunga Ndoa).

Sasa taarifa zimemfikia mwakilishi wa shirika la wambea duniani Soudy Brown zinazodai kwamba ndoa hiyo imevunjika na inasemekana Zungu ametelekeza mke pamoja na mtoto.
Ni baada ya kupigiwa simu na anayedai kuwa ni aliyekuwa mke halali wa Zungu na kutoa malalamiko yake kedekede.
’Mimi nimezaa na Dancer wa Diamond anaitwa Zungu nilikuwa naishi nae na tukapata nae mtoto anaitwa Faisali lakini kukatokea mizozo kati yangu na yake kulikuwa na msichana mmoja alikuwa anatoka naye anaitwa Rukia Ruki alishawahi kutoka na Rayvany‘;-Swaumu





0 comments:

Post a Comment