Monday, January 16, 2017


Tutawezaje kumpata msanii na entertainer mwenye full package kama Diamond platnumz kibongo bongo, hilo lilikuwa swali la @thisisraheem kwenda kwa Daxo chali
kupitia kipindi cha Bongo.home cha Times fm

Producer huyo kutoka Mj record amefunguka na kusema kwa sasa tumtafute Diamond wa kurap kwanza na si kumshusha Diamond wa kuimba tutafeli


"mimi naona kwa sasa hivi tungemtafuta Diamond wa kurap kwanza yani rapper ambae atafika level ya Diamond tukimpata huyo yani dah, akafika level ya Diamond ile sasa tuta'inspire rappers wengine, tusikazane sana kumshusha Diamond wa kuimba 
tutafeli Diamond kafika level ambayo brand yake ndio inauza sio muziki tena" alisema Daxochali

0 comments:

Post a Comment