Tuesday, January 17, 2017

Limezua utata mkubwa sana kwenye mitandao ya kijamii hili jambo la mtangazaji wa Clouds FM Diva The Bawse kutangaza birthday yake hapo jana ikiwa inafahamika fika kuwa birthday yake ni May 25.

Leo mrembo huyo alikuwepo kwenye kipindi cha XXL katika kuliweka sawa suala hilo na akadai kuwa siku na tarehe kama ya jana ndio siku ambayo alibadilisha jina lake kutoka Loveness Love Malinzi na kuwa Diva Geosel Love Malinzi.
Na hivyo hiyo ndiyo sababu ya mrembo huyo kufanya birthday 2 kwa mwaka mmoja

0 comments:

Post a Comment