Friday, January 20, 2017

Licha ya kuwa karibu na Donald Trump na kuonesha sapoti kubwa kwa Raisi huyo ambaye anatarajiwa kuapishwa leo January 20, Kanye West amepigwa chini kutumbuiza kwenye sherehe hiyo.

Kupitia interview ambayo imefanywa na CNN, ilipata nafasi ya kumuuliza muandaaji wa shughuli hiyo katika kuapishwa kwa Rais huyo wa Marekani,  Tom Barrack Jr alifunguka kwamba Kanye West hatokuwepo kwenye wasanii ambao watatumbuiza kwasababu hawakumchagua wala hawakufanya mazungumzo naye.

0 comments:

Post a Comment