Mapenzi ya Drake na J.Lo bado yanazidi kushine kila leo, unaambiwa sasa Drake amemzawadia J.Lo cheni ya dola $100,000.
Kupitia ripoti ambazo zimetolewa na E! Newz zimesema kwamba Drake amemnunulia J.Lo cheni ya shingoni yenye thamani ya $100,000 na zawadi hiyo Drake aliitoa kwenye sherehe ya New Year’s Eve.
Wawili hao mapenzi yao yalikuwa yakinoga siku hadi siku ambapo kama unakumbuka mwaka 2016 ndio mapenzi yao yalikuwa yakishamiri na kumake headline kila siku, bado hatujafahamu kwamba wawili hao wanafanya kiki ya wimbo tu au ndio realy mapenzi ya kweli.
0 comments:
Post a Comment